25 Sept 2011

Jipime kiasi gani unaijua Quran..

  1. Sura ngapi zimeteremshwa Makka na ngapi zimeteremshwa Madina?
  2. Sura gani haina Bismillah na sura gani ina Bismillah Rahman Raheem mbili?
  3. Sura gani inajulikana kama "Moyo wa Quran"?
  4. Sura gani ambayo neno Allah limetajwa katika kila aya zake?
  5. Sura gani imeshauriwa isomwe siku za Ijumaa kabla ya swalat Juma'a?
  6. Sura gani iliyoteremshwa ambayo haina mi'm?
  7. Sura gani imegawanyikakwa Malaika wakuu wanne wa Mwenyezimungu?
Ukifanikiwa kujibu maswali hayo sahihi, basi Masha Allah Qur'an unaifahamu kiasi.

No comments:

Post a Comment